D8 HALAL EXPO

IQNA

IQNA – Waandaji wa Maonyesho ya Halal ya nchi za D-8 nchini Indonesia (D-8 HEI) 2026 wametangaza kuhitimishwa rasmi kwa hafla hiyo siku ya Jumapili, wakiripoti jumla ya mikataba yenye thamani ya Rupia (Rp) bilioni 242 sawa na 13.4 million USD za huduma na bidhaa za Halal.
Habari ID: 3482481   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/13